Wana Janvi, Amani iwe nanyi. Kila nikikumbuka home nakumbuka wimbo wa hayati Che Mundugwao wa "Tumetoka kwetu Mahenge tumekuja Dar es salaam kucheza sindimba" kwa mwenye kuwa na huu wimbo...
Dayna nyange atajwa katika BAE kipengele cha best african act na vocal performance female
Best vocal performance female anachuana na ;
ARAMIDE "fun mi lowo"
NGOWARI "ebasitam"
ROCKNANA "...
Kwanza kabisa naweka swala ilo sawa,chini ni email inayoonesha kwamba kuna watu wana'deal na biashara ya Kuboost FOLLOWERS on Instagram lakini kuchukua iyo evidence naamini kabisa basi hata...
Kuna bendi ikikuwa inaitwa washirika tanzania stars, Watunjatanjata wameimba nyimbo kali kama vile Julie,penzi laulaghai naomba kujuzwa ile sauti kama ya kike ni ya nani siku zote mimi nilikuwa...
Hizi ndo collaboration zangu bora kwa mwaka uliopita
1. Salome diamond ft rayvanny
2. Nisamehe Baraka da prince ft alikiba
3. Kokoro richi mavoko ft diamond
4. Mziki darasa ft Ben pol
5.wacha...
Hii nchi siielewi..wanamuziki wakubwa ninaowakumbuka ni hawa
1.Davido
2.Wizkid
3.Patoranking
4.Iyanya
5.Timaya
6.Tekno
7.Vector
8.Skales
9.Olamide
10.Don jazz
11.Kiss Daniel
12.P square
13.2Face...
Huwa nakikumbuka sana hiki kipindi natamani hata kutokwa na machozi.
Some moments are not just coming back in life.
1.Ginuwine- Love you more
2.Boys 2 Men- Dreams
3. Coolio- Gangsters...
Janet Jackson welcomes a son
By Lisa Respers France, CNN
Updated 5:58 PM ET, Tue January 3, 2017
JUST WATCHED
Janet Jackson confirms pregnancy
Now Playing Janet Jackson confirms...
Source...
Wana jf niajeee hv naomba kuchukua muda wako kidogo kwann muziki wa hip hop haupewi kipaumbele bongo hasa kwa wasanii underground alafu unakuta ukiforce kupata airtime ya ngoma zako unakuta...
Kususwa kwa baadhi ya nyimbo
Kama heading inavyojieleza hapo juu ,hivi ni kwanini Msaniii Diamond Platnumz Katika shows zake Mara nyingi kuna nyimbo huwa hazipigi sana ?? Ndio kusema hazina maana...