Jeshi la polisi limekuwa likikamata wasanii wa Bongo flava kila kukicha, kama wewe msanii bado upo uraiyani, Omba Visa yako iwe Ulaya au Amerika au Australia, ukifika huko Omba ukaazi kama...
Habarii
Msanii anaejulikana kama bonge la nyau ambae ametoa nyimbo mpya inayoitwa #Tusiachane nyimbo hii ameiba toka kwa msanii na mwandaaji wa mziki @justincukaz kutoka Arusha
Nyimbo hii...
Naanza kwa kuwashukuru wana JF wote kwa ushirikiano mnaonipa na kwa kunifunza vitu vingi ambavyo sikuvijua na kwa kweli sijutii kujiunga na wanafamilia wa JF.
Kwa leo ninaomba ushauri kuhusiana...
Nimejitahidi kutafuta nyimbo zote za Albamu ya funga kazi kwenye mitandao zilizoimbwa na Hard Blasters Crew mwaka 2000,nmepata chemsha bongo na mamsapu tu..Naomba msaada wa aliye na nyimbo...
Habarii
Msanii anaejulikana kama bonge la nyau ambae ametoa nyimbo mpya inayoitwa #Tusiachane nyimbo hii ameiba toka kwa msanii na mwandaaji wa mziki @justincukaz kutoka arusha
Nyimbo hii...
Tovuti namba moja ya kuuzia muziki nchini, Mkito.com, imepata mpinzani mpya, Wasafi.com. Diamond Platnumz ameizindua rasmi website yake ya kuuzia muziki, si tu wa wasanii wa WCB, bali wasanii...
Kiwanja kipya cha kijanja kimefunguliwa mji mpya unao kuwa kwa kasi Mafinga,Iringa,Fika ujipatie huduma zote muhimu kwa binadamu aliye timilika,na usahau kama upo ugenini.
Kwakweli Tv E dada ya efm inasumbua mtaani kwa sasa baada ya rasmi kuanza kuonekana dstv channel 295 , yaani ni burudani kwenda mbele asubuhi hadi jioni , picha angavu kabisaaa
Heheheheiyaaa...
Wande coal is back with a song that his fans and lots of people around will be aspire. The track is titled “Ballerz” enjoy the video and tell me what you think about the song.......
click on this...
Do you now, Disney has finally released a new music video for Ariana Grande and John Legend’s duet "Beauty and the Beast", the theme song of Disney's upcoming fairytale retelling "Beauty and the...
Bado napokaa na kuwaza kuwa Best Picture Movie ya Kishetani ya Moonlight ya kidhalilishaji kwa wanaume na jamii kiujumla inaposhinda Movie nzuri yenye maadili ya Hacksaw Ridge.
Huu ni...
Wimbo wa star wa Africa, Diamond Platnumz uitwao Marry You umeendelea kufanya vizuri duniani kote.
Baada ya kuingia kwa kishindo UK, wimbo huo umeendelea kufanya vizuri na sasa umeingia ukanda wa...
Habari mashabiki zetu pendwa,
Tunayo furaha kukupa habari njema ya kwamba kuanzia sasa @wasafidotcom ndio sehemu rasmi na pekee ya kuweza kujipatia nyimbo za wasani wako wote pendwa toka hapa...