Diamond aizindua tovuti ya kuuzia muziki pinzani kwa Mkito

dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,177
847
Tovuti namba moja ya kuuzia muziki nchini, Mkito.com, imepata mpinzani mpya, Wasafi.com. Diamond Platnumz ameizindua rasmi website yake ya kuuzia muziki, si tu wa wasanii wa WCB, bali wasanii wengine pia.

Hivi mnaonaje hii kitu... Wasafi wamejiandaaje kwenye suala zima la hatimiliki maana naona hapa Tz kuna blogs nyingi ambazo zinapakia nyimbo na watu wanapakua bure kabisa...

Ni namna gani wataweza kuzuia blogs nyingine zisipakie nyimbo zao na kufanya zipatikane bure.. Maana inaweza kuaffect mauzo ...watadownload wachache zitasambaa freely kwenye blogs na wasap...

Mnaonaje kuhu hili wadau..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom