Mkuu utakuwa unasumbuliwa na upweke katika foreign soil.Nairobi sio mji wa kukosa hicho unacho kitafuta!Mm nipo Westlands Nairobi mwezi wa 4 sasa.. Nahitaji rafiki wa Kike wa kuchat nae.. Umri miaka 18 na kuendelea..
Nimuelekeze mahali aende kutafuta wa kumuondoa msongo.Teh teh teh kwaiyo unamshauri nini mkuu?