Natafuta albamu ya Funga kazi - HBC

infantry

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
313
303
Nimejitahidi kutafuta nyimbo zote za Albamu ya funga kazi kwenye mitandao zilizoimbwa na Hard Blasters Crew mwaka 2000,nmepata chemsha bongo na mamsapu tu..Naomba msaada wa aliye na nyimbo zilizobaki atupie hapa au sehemu nyingine za kuzipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom