Bonge la nyau anatuhumiwa kuiba nyimbo

up60evar

New Member
Aug 12, 2014
3
0
Habarii
Msanii anaejulikana kama bonge la nyau ambae ametoa nyimbo mpya inayoitwa [HASHTAG]#Tusiachane[/HASHTAG] nyimbo hii ameiba toka kwa msanii na mwandaaji wa mziki @justincukaz kutoka arusha
Nyimbo hii ilifanyika 2015 katika studio za Artificially Music zilizoko mwananyamalaa na kurekodiwa chorus na [HASHTAG]#UdeUde[/HASHTAG] ambambo alifanya kama featuring / kushirikishwa na @justincukaz
Hivi karibuni [HASHTAG]#Nyauloso[/HASHTAG] au Bonge la nyau ametoa nyimbo inayoitwa [HASHTAG]#Tusiachane[/HASHTAG] ambapo amerudia nyimbo ya @justincukaz kiitikio na bridge ya ngoma na kuipa jina la Tusiachane fuatilia mkasa huu kwenye page za @justincukaz [HASHTAG]#Instagram[/HASHTAG] [HASHTAG]#facebook[/HASHTAG] na twitta kusikiliza kazi zote mbili [HASHTAG]#Original[/HASHTAG] na Iliyo ibiwa
 
Hashtag kibaooooo duh alafu unataka tuende sijui kijiji gani kufuatilia mkasa huu wewe nenda urudi utuletee mkasa hapa hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom