Main chick

Fext

Member
Dec 26, 2016
47
49
Moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri kwenye muziki wa bongo fleva jinsia ya kike baasi huwezi kumuacha Vanessa mdee ( v-money), lady jaydee ( komando) na wengine wengi.
Leo naomba nimuongelee maua sama aiseh bidada anajua muziki kiukweli sijawahi jutia kumsikiliza kuanzia kwenye mahaba niue na mwana fa
Lakini pia wimbo wake mpya unaitwa MAIN CHICK honest sauti tamu na melody tamuu imekamilisha tafsiri ya mziki mzuri..
Kama hujasikiliza trust me hautajutia
Mungu ampe nguvuu zaidi
 
Ameutoa kama bonus tu, kwa mashabiki lakini habahatishi na hajawahi kuniangusha tangu nilivyoucheki FNL niliupenda sana
 
Back
Top Bottom