Wasanii njooni Ulaya kabla ya kuvambikiziwa case

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,011
Jeshi la polisi limekuwa likikamata wasanii wa Bongo flava kila kukicha, kama wewe msanii bado upo uraiyani, Omba Visa yako iwe Ulaya au Amerika au Australia, ukifika huko Omba ukaazi kama mkimbizi, utapata ukaazi wa haraka mno, kwa sababu yanayo fanya hawa........... Hayakubaliki kimataifa, trust me.. Mutapokewa
 
Du!! Lugha gani hiyo!!
 
Back
Top Bottom