brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Wimbo wa star wa Africa, Diamond Platnumz uitwao Marry You umeendelea kufanya vizuri duniani kote.
Baada ya kuingia kwa kishindo UK, wimbo huo umeendelea kufanya vizuri na sasa umeingia ukanda wa Scandinavia baada ya kuanza kuchezwa kwenye vituo vya MTV Denmark na MTV Finland.
Wimbo huo umeendelea kumuongezea mashabiki wapya kila siku Diamond.
Diamond anakuwa mtanzania wa kwanza wimbo wake kuchezwa kwenye vituo vya MTV EUROPE.