Astoria Bar & Grill,Mafinga,Iringa

Mgoroko

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
769
446
Kiwanja kipya cha kijanja kimefunguliwa mji mpya unao kuwa kwa kasi Mafinga,Iringa,Fika ujipatie huduma zote muhimu kwa binadamu aliye timilika,na usahau kama upo ugenini.
IMG-20170304-WA0013.jpg
 
Nakuja chemba Mgoroko nna mawili matatu ya kujadili nawe kabla sijafanya maamzi sahihi ya kuhamia Mafinga mazima!
 
Back
Top Bottom