Video:warabu wameachia remix ya shetta ,shikorobo

Video:warabu wameachia remix ya shetta ,shikorobo

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,464
PARODY GROUPE L'FISHTA #SÉÉF HADA الصيف هذا [HASHTAG]#shetta[/HASHTAG] ft kcee_shikorobo

 
Ebu mwambieni shetta atujibu hili swali,mbona hii ni ya muda mrefu?
Ni kweli inaweza kuwa mrefu lakini mbona hata ya shetta pia ni ya mda mrefu! Nadhani hoja yako ni kwamba ni ya mda mrefu zaidi kuliko ya shetta na kama hivyo ndivyo basi ututhibitishie kuwa ni ya mda mrefu zaidi kuliko ile ya shetta!
 
jamani hivi shetta anakosea wapi?
management au?
mbona ni msanii mzuri nilihisi anawezaga kucomplete na diamond... lakini naona yuko kimyaaa....

leo nmeangalia hii shikorobo bado ngoma kali kabisa japo ya kitambo....[emoji20]
 
Bila kutwerk? Hapo ndo huwa nayakubali madada yangu ya kiafrika. Tatizo hayajitambui na mawigi yao😛
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom