Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Hata usiposikiliza utasikia watu wanaizungumzia,lazima utaijua tu.kumbe na yeye anasikilizapo hizo nyimbo,aha aha
Ahaaahaaaaaaaa etu mkulu wa kaya anacha mistari "eti unaenda bila break , what do you expect.....". ???
aisee...yaani ile ngoma imebamba kinoma noma, brand ya darasa lazima ilindwe kwa nguvu yoyote ile.
Kumbu hata Mzee w upako hakukosea kuikubali mistari ya darasa bado tu gwajima wa kolomije kupewa featuring na darasa.