Moja ya Uthibitisho kuwa Dunia ipo mwishoni ni pale Moonlight inapoishinda Hacksaw Ridge.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
7,869
16,917
Bado napokaa na kuwaza kuwa Best Picture Movie ya Kishetani ya Moonlight ya kidhalilishaji kwa wanaume na jamii kiujumla inaposhinda Movie nzuri yenye maadili ya Hacksaw Ridge.

Huu ni uthibitisho wa kuwa DUNIA hii imefikia hatua ya mwisho pale ambapo tuna jaribu kuhalalisha na ya kuyafanya mambo ya Kishoga kuwa ni ya Kawaida. Tunaposahau kuwa Haksaw Ridge ni moja kati ya Movies nzuri sana zinazothibitisha utu wa binadamu na namna ambavyo binadamu tunapaswa kuishi. kwa kuamini utu wetu na hata katika uovu kusimamisha wema. suala la vita ni suala baya sana na kila mtu anaamini ujasiri wa mwanajeshi yeyote ni katika kuua maadui. lakini Desmond T. Doss huyu ni mwanajeshi wa kwanza kupata kutokea ambaye yeye alijiunga na jeshi kwa lengo tofauti kabisa. alijiunga na jeshi kwa lengo la kwenda kuokoa maisha na si kupoteza maisha ya watu.

katika vita vya pili vya dunia alishiriki vita hivyo bila kufyatua risasi hata moja akiwa katika mstari wa mbele katika mapambano makali sana kati ya marekani na japani na kufanikiwa kuwakoa wanajeshi 75 wasiuawe/Wasife kutokana na kuachwa uwanja wa mapambano baada ya marekani kuzidiwa na japan. Desmond Doss kwa imani yake alikuwa anaamini yeye hapaswi kuua. anapaswa kuokoa. na huyu ni mwanajeshi wa kwanza kutunukiwa nishani pasipo kushika bunduki ukiacha kufyatua risasi hata moja. mchango wake ulikuwa mkubwa sana katika vita vile.

ingawa mwanzoni wanajeshi wenzie walimkashifu sana na kumwona ni mwoga na hafai kuwa nao. hawakuoana kama angewezaje kuwa msaada wakati anaenda kwenye mapambano akiwa mikono mitupu. walimdhihaki sana na kumkashifu. lakin i ndiye aliyekuja kuwaokoa na kuwafanya warudi nyumbani kwao. aliibuka kuwa shujaa mkubwa sana. mtu ambaye alionekana kuwa ni mnyonge na dhaifu.

habari hii ni ya kweli ilitokea kabisa kwa mhusika huyu ambaye kiuhalisia hata mwili wake haukuonekana kuwa na ukakamavu sana. akiwa mwembamba mrefu na mwenye sura ya upole.
Rasi wa Marekani miaka Hiyo Truman alishangazwa na ujasili wa mwanajeshi huyu na imani yake ambayo ilikuwa ni ya aina yake katika suala la vita. alimzawadia Koplo Doss Nishani ya Heshima. Desmond T. Doss alifariki March 23, 2006, na kuzikwa huko Piedmont, Alabama, United States.

Movie ya namna hii inapokuja kushindwa na Movie yenye ku promote mambo ya kishoga. wananchi walipaswa kuandamana na kukaa jambo hili kwa nuguvu zote. ni aibu katika ulimwengu wa watu wastaraabu na wenye imani ya Mungu wa kweli.
WADAU MPATAPO NAFASI ANGALIE HII MOVIE YA Hacksaw Ridge
.
220px-DossDesmondT_USArmy.jpg
d.jpg
images.jpg
 
Mkuu hata America kuna watu Hawapendi ushoga, usagji and the like ila wanasapoti ili kupata endorsement, mikataba, kazi, au asionekane wa tofauti mahala pa kazi hasa wasanii na athletes ni wahanga makampuni yanapush agenda kupitia ktk mikataba usikute hata Oscars wameambiwa tuu kuwa movie hiyo ishinde

Eti unaacha fences unaipa ya mashoga pathetic kabsaa
 
Back
Top Bottom