Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Harakati Zipi Zifanyike Ili Kuokoa Kuzama Kwa Jahazi Bongo Movie??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Je ww ni msichana mwenye miaka 22-30.. Na unapenda kufanya shughuri za mitindo(modeling)... Unapenda kusafiri nchi mbali mbali duniani? Unajua English? Una passport?... Kama jibu ni NDIO basi uko...
1 Reactions
2 Replies
765 Views
Kichwa cha habari kinajitosheleza....msaada wako tafadhali
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Inasikitisha sana kuona tunalazimishwa kuangalia Movies zisizona viwango wala ubora. Na kuzuiwa kuangalia zenye viwango na za kusisimua.[emoji33]
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Harmonize x Rich mavoko toka Wcb wameachia video yao mpya "Show Me"
4 Reactions
32 Replies
10K Views
Zamani Nilikuw sijuw kusoma magazeti, Nilikuw nikiyaona tu natafta kama lina Madenge na Ndondocha.. Mazee Hawa wameenda wapi duu?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Show inayoendelea sasa hivi,luh!Ni ubunifu mkuuubwa!Huyu jamaa Koyo ni hatari mno!! Kwa mara ya kwanza,nawapongeza sana! Ila akiingia wcb tu,kwisha habari yake!
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Binafsi nazifahamu kama 1. Shooting the dogs 2. Hotel Rwanda 3. Sometimes in April 4. Kinywaranda Naomba tupia na wewe unazozifahamu nataka kuzitafuta zoote, kuna funzo kubwa sana ndani yake.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
H
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama nilivyoeleza hapo juu, naamini naiweza sana hy kazi coz kila nikikaa na watu wengi hunishaur nifanye hy kazi kwan jinsi ninavyoongea hufurahia tatizo upande wangu nikisimama kwenye watu zaid...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wana JF,Naitwa MC SIMON MZUNGU ni mshereheshaji (MC),mwigizaji na mwimbaji wa muziki wa injili Nawakaribisha kutazama&kusikiliza wimbo Wangu 'NI SIKU' ambao ni faraja katika changamoto...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Mwenye kufahamu wimbo wowote wa rumba au zuku ambao ulipata kufanya vizuri miaka ya nyuma aniandikie hapa jina la wimbo na la Msanii. Zuku na Rumba.....
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Aisee, kila nyakati na mambo yake, hivi mnakumbuka miaka ile tunajazana kwenye vibanda vya TV show kuangalia muvi?, alafu kuna baadhi ya filamu zilitamba sana miaka hiyo mfani Arnold...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msanii yule aliyetamba zamani kwa sauti na madaha ya aina yake arejea kwenye tasnia ya bongo flavour. Mchana huu wimbo wake wa unanimaliza umetambulisha Cloud Fm. "Ray C unanimaliza".....kila la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
JAPAN: Mwanamke wa miaka 82, Sumiko Iwamuro ajipatia umaarufu baada ya kusifika kwa kupiga muziki katika ukumbi mmoja wa starehe katika viunga vya Jiji la Tokyo. Mwanamke huyo maarufu kama DJ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wa Jamii Forum,Nikiwa mmoja wa members Nimetoa nyimbo yangu inaitwa 'NI SIKU'Nimemshirikisha Julieth,Naomba support yenu kwa kusikiliza na kutoa ushauri zaidi sambamba na ku-share kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa wale wapenzi wa nyimbo za billboard chart,UK.top 40, na Electronic dance music (EDM SONGS) mpya mpya na kali za hatari angalia hapa kisha tafuta upakue ..hutajuta... N.B..sio kila wimbo mpya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msanii dogo Skide ametoa nyimbo ya kumdisi msanii harmorapa kwa kuongea maneno ya kejeli na kuchekezha.. Ongeza maisha hapa...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Watu wanaoridhishwa na kazi zinazofanywa na awamu ya tano ni wengi kuliko wachache wanaokerwa. Watu wenye maadili na wasiopenda matusi kwenye nyimbo ni wengi kuliko wahuni. Wanaofurahi na wenye...
0 Reactions
4 Replies
784 Views
Wakuu kama heading inavyojieleza... Niwapi pazuri kufurahia yani ukiwa na watoto watafurahia michezo nahata wakubwa pia ukiachilia mbali Funny city na Jangwani see breez... Msaada tafadhari wakuu
4 Reactions
18 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…