mcmzungu
Member
- Jul 11, 2015
- 48
- 65
Habari wana JF,Naitwa MC SIMON MZUNGU ni mshereheshaji (MC),mwigizaji na mwimbaji wa muziki wa injili Nawakaribisha kutazama&kusikiliza wimbo Wangu 'NI SIKU' ambao ni faraja katika changamoto mbalimbali Tunazopitia kama Taifa.Nakaribisha maoni na ushauri,pia Unaweza follow MC SIMON MZUNGU/facebook.com au MC SIMON MZUNGU/instagram.com.Kama kijana wa Kitanzania Natumia vipaji vyangu kama MC&Mwigizaji na mwimbaji wa muziki wa injili.