HADITHI HADITHI...??!

Hadithi Hadithi...?!

Hapo zamani za kale" kulikuwa na wasafiri wawili Baba na Kijana wake mdogo wa kiume,

Walikuwa wakisafiri kutoka Mji uitwao Umiskini >>>kuelekea
Mindilioni.

Usafiri wao ulikuwa ni farasi mmoja....•Wakiwa safalini' walikutana na kundi la watu njiani wake kwa waume" kazi yao ni Kuwakosoa wapita njia...!

Wale watu wakasema.....
Tazama yule mzee alivyo katili..! yaani yeye yupo juu ya farasi' yule mtoto anatembea kwa miguu....Hafai katika jamii..!

Yule mzee alipoyasikia yale maneno..akaamua kushuka na kumpandisha yule kijana wake wa kiume...

Walipoendelea na safari......
Mbele walikutana na kundi lengine.....wake kwa waume" kazi yao ni Kukaa na Kushinda barabarani ili Kuwachunguza na Kutathmini maisha ya wapita njia, na baada ya hapo" husambaza taarifa kwa watu mbalimbali Hata kama ni za Uwongo....
Wale watu wakasema.....
Yule mtomto" Hana Elimu ya kutosha-ya Kidunia wala ya Kiroho...kwa maana' haiwezekani amtembeze Baba yake kwa miguu' nalhali yeye yupo juu ya farasi Anastarehe...!Ni udharirishaji ule.....!

Yule mzee alipoyasikia tena yale maneno....
Akaamua na yeye apande...' sasa hakuna anayetembea kwa miguu" inamaanisha wote wawili wako juu ya farasi....

Mbele tena" walilikuta kundi lengine....
Wake kwa Waume....kazi yao hujiita Watetezi wa Haki za wanyonge....
Wale watu' wakasema....!

Wale watu walaaniwe....kwani ule ni uwonevu uliowazi kabisa..." yaani woote Baba na Mtoto wake" wamekaa juu ya yule farasi wanastarehe tu" yaani wala hawatambui kuwa yule naye ni kiumbe anastahili Uhuru" pia anahisi Maumivu kama viumbe wengine.... Ule ni Unyanyasaji..... Tena wale watu wawili hawastahili kupita tena katika njia hii....Tutafanya mbinu zozote ilimradi awamu ya pili" wasipite tena hapa....!!!

Yule mzee alipoona kila hatua• kuna kundi la The people from no where.....!!
Akaamua yeye na Mwanawe" washuke watembee kwa miguu...
Mbele walikutana na kundi lengine tena...!!! kazi yao ni paste & copy....yaani wao husubiri> Nani kasema nini" na mimi niseme....! Hawafanyi Uchunguzi, wala hawatumii Akili za kuzaliwa nazo" bali Hufanya kwa kuwa Fulani kafanya.....
Wakasema.......!

Kuna haja gani ya kuwa na yule farasi....! Kwa maana wote' wanatembea na miguu.....!!!
Na hadithi yangu imeishia
hapo.

Swali: hawa wasafiri wawili" wafanye nini ili haya makundi yaridhike....?

By• Tooth Brush
Huyo mtoto hakutakiwa kuwa kwenye huo msafara. Kama kuna kituo cha polisi kiko jirani amwache hapo. Atampitia akimaliza Safari. Cha pili arejee malengo ya safari na asichukue shortcuts kwa kufikiria atafika mapema, kuna kupotea njia.

Haya fikisha ujumbe kwa wasafiri.
 
Kwani huyo mtoto ana Vyeti? Mwambie avitoe Vyeti kwanza, makelele yataisha. Huyu Baba ana Mahaba mazito na Mwanae.

Hadithi Hadithi...?!

Hapo zamani za kale" kulikuwa na wasafiri wawili Baba na Kijana wake mdogo wa kiume,

Walikuwa wakisafiri kutoka Mji uitwao Umiskini >>>kuelekea
Mindilioni.

Usafiri wao ulikuwa ni farasi mmoja....•Wakiwa safalini' walikutana na kundi la watu njiani wake kwa waume" kazi yao ni Kuwakosoa wapita njia...!

Wale watu wakasema.....
Tazama yule mzee alivyo katili..! yaani yeye yupo juu ya farasi' yule mtoto anatembea kwa miguu....Hafai katika jamii..!

Yule mzee alipoyasikia yale maneno..akaamua kushuka na kumpandisha yule kijana wake wa kiume...

Walipoendelea na safari......
Mbele walikutana na kundi lengine.....wake kwa waume" kazi yao ni Kukaa na Kushinda barabarani ili Kuwachunguza na Kutathmini maisha ya wapita njia, na baada ya hapo" husambaza taarifa kwa watu mbalimbali Hata kama ni za Uwongo....
Wale watu wakasema.....
Yule mtomto" Hana Elimu ya kutosha-ya Kidunia wala ya Kiroho...kwa maana' haiwezekani amtembeze Baba yake kwa miguu' nalhali yeye yupo juu ya farasi Anastarehe...!Ni udharirishaji ule.....!

Yule mzee alipoyasikia tena yale maneno....
Akaamua na yeye apande...' sasa hakuna anayetembea kwa miguu" inamaanisha wote wawili wako juu ya farasi....

Mbele tena" walilikuta kundi lengine....
Wake kwa Waume....kazi yao hujiita Watetezi wa Haki za wanyonge....
Wale watu' wakasema....!

Wale watu walaaniwe....kwani ule ni uwonevu uliowazi kabisa..." yaani woote Baba na Mtoto wake" wamekaa juu ya yule farasi wanastarehe tu" yaani wala hawatambui kuwa yule naye ni kiumbe anastahili Uhuru" pia anahisi Maumivu kama viumbe wengine.... Ule ni Unyanyasaji..... Tena wale watu wawili hawastahili kupita tena katika njia hii....Tutafanya mbinu zozote ilimradi awamu ya pili" wasipite tena hapa....!!!

Yule mzee alipoona kila hatua• kuna kundi la The people from no where.....!!
Akaamua yeye na Mwanawe" washuke watembee kwa miguu...
Mbele walikutana na kundi lengine tena...!!! kazi yao ni paste & copy....yaani wao husubiri> Nani kasema nini" na mimi niseme....! Hawafanyi Uchunguzi, wala hawatumii Akili za kuzaliwa nazo" bali Hufanya kwa kuwa Fulani kafanya.....
Wakasema.......!

Kuna haja gani ya kuwa na yule farasi....! Kwa maana wote' wanatembea na miguu.....!!!
Na hadithi yangu imeishia
hapo.

Swali: hawa wasafiri wawili" wafanye nini ili haya makundi yaridhike....?

By• Tooth Brush
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom