kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,428
- 13,936
Watu wanaoridhishwa na kazi zinazofanywa na awamu ya tano ni wengi kuliko wachache wanaokerwa. Watu wenye maadili na wasiopenda matusi kwenye nyimbo ni wengi kuliko wahuni. Wanaofurahi na wenye maadili mema wanatosha kabisa kuwapuuza na kuwaadhibu wanaoimba nyimbo zisizo na maadili, kashifa na kebehi bila kuhitajika nguvu ya ziada ya dola. Jamii isiyopenda matusi ingewadharau na kuwanyima kick. Serikali inapowazuia waimba ovyo inawapa milage kubwa isiyokuwa na sababu.