mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Msanii dogo Skide ametoa nyimbo ya kumdisi msanii harmorapa kwa kuongea maneno ya kejeli na kuchekezha..
Ongeza maisha hapa...
Anajiita mdogo ake mondMbona kafanana na daimond
Yaani anapoteza fedha na muda kwa ajili ya kwenda kumsema msanii mwenzake ? Hahaha hahaha ila aliyetuloga kweli kiboko
Anajiita mdogo ake na simbaNdio nani huyu?
Badala ajibrand anakaa kumdiss harmorappa
Wasanii wa singeli sijui wakoje....
[HASHTAG]#WanaumeWaDar[/HASHTAG]
Anataka ajiite DiamondRapaMbona kafanana na daimond
Anasafiria nyota... alafu kiki yeye haziwezi.. amuachie HARMORAPANdio huyu huyu aliyemdiss Manfongo alipotoa HAINAGA USHEMEJI yeye akatoa wimbo uitwao USHEMEJI UPO... Yeye kazi yake ni kudis tu..ndio maana mziki wake haudumu
Utadhani inspector harun kikongweNdio huyu huyu aliyemdiss Manfongo alipotoa HAINAGA USHEMEJI yeye akatoa wimbo uitwao USHEMEJI UPO... Yeye kazi yake ni kudis tu..ndio maana mziki wake haudumu