Jaman mm naipenda sana kazi ya Mc (Master of ceremony)tatizo nakosa confidence kwenye watu wengi

Villky_J

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
492
609
Kama nilivyoeleza hapo juu, naamini naiweza sana hy kazi coz kila nikikaa na watu wengi hunishaur nifanye hy kazi kwan jinsi ninavyoongea hufurahia tatizo upande wangu nikisimama kwenye watu zaid ya 10 nakosa confidence. .nifanyeje?
 
Jiamini unaweza

Usiwaangalie usoni watu unaowasherehesha

Jaribu kuepuka kuangalia sehem moja pekee

Tembea tembea wakat ukiongea
 
acahan na hilo wazo fanya kaziza kawaida tu kama....... achana na kazi za kusimama mbele ya watu
 
acahan na hilo wazo fanya kaziza kawaida tu kama....... achana na kazi za kusimama mbele ya watu
Kila mtu anahaki ya kufanya anachokitaka dan kipaji chako ndio utsjir wako ulipojificha.
 
Hata mm napenda kweli , ila tatizo ni kama lako bora ww hao kumi mie hata watano siwezi
 
Kama nilivyoeleza hapo juu, naamini naiweza sana hy kazi coz kila nikikaa na watu wengi hunishaur nifanye hy kazi kwan jinsi ninavyoongea hufurahia tatizo upande wangu nikisimama kwenye watu zaid ya 10 nakosa confidence. .nifanyeje?
Weka picha
 
Ulivyokuwa Chuoni, hukuwa una present? kama ulifanya hivyo basi sioni sababu kwa nini uogope au uone aibu kuongea mbele za watu
 
Back
Top Bottom