mcmzungu
Member
- Jul 11, 2015
- 48
- 65
Wadau wa Jamii Forum,Nikiwa mmoja wa members Nimetoa nyimbo yangu inaitwa 'NI SIKU'Nimemshirikisha Julieth,Naomba support yenu kwa kusikiliza na kutoa ushauri zaidi sambamba na ku-share kwa Ndugu,jamaa na marafiki.Binafsi Nimetoa nyimbo hii kama njia ya kutengeneza platform nzuri katika sanaa yangu.Mimi pia ni mshereheshaji (MC) na mwigizaji karibuni kwa ushauri zaidi Unaweza kucheki MC SIMON MZUNGU/facebook.com au MC SIMON MZUNGU/instagram.com.