Movie kali za Rwanda Genocide

NGUZO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
257
46
Binafsi nazifahamu kama
1. Shooting the dogs
2. Hotel Rwanda
3. Sometimes in April
4. Kinywaranda
Naomba tupia na wewe unazozifahamu nataka kuzitafuta zoote, kuna funzo kubwa sana ndani yake.
 
HII YAKO SIO YA MAUAJI YA RWANDA! BLOOD DIAMONDS INAHUSU MAUAJI KWENYE MOJA YA NCHI ZA AFRICA MAGHARIBI, KAMA SIJASAHAU NI BUKINAFASO
Sierra Leone inahusiana na jinsi biashara ya Almasi ilivyofadhili vita vya wenyewe kwa wenyewe nchi Sierra Leone. Kuna documentary inaitwa Cry Freetown inaonyesha vita halisi ilivyokuwa. Ni nzuri sana vita tusikie tu.
 
Nitaitafuta hio Cry Freetown
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom