Tujikumbushe filamu zilizotesa mwanzoni mwa miaka ya 2000

mwanvido

Member
Jan 21, 2017
30
29
Aisee, kila nyakati na mambo yake, hivi mnakumbuka miaka ile tunajazana kwenye vibanda vya TV show kuangalia muvi?, alafu kuna baadhi ya filamu zilitamba sana miaka hiyo mfani
Arnold shwarzniger(jeny)
Neria
The gods must be crazy1-3
Mkanda wa yesu
Sarafina
Rambo
Muvi za blue three
Home alone
Three ninjers
Terminator
Jetlee
Kwa bongo muvi ilikuwa bado ila kuna baadhi ya muvi zilitrend pia kama
Chozi LA baba(king majuto)
Gubu LA WiFi
Nsyuka
Kihongwe
Enzi za wakina mzee small, tupa tupa, mzee mangushi, mzee pwagu, bi chau. ALAFU KALI KULIKO YOTE ILIKUWA KILA ALIYENUNUA TV MIAKA HIYO KUNA MIKANDA YA VIDEO KAMA MINNE HIVI AMBAYO ILIKUWA COMMON, MKANDA WA YESU, SARAFINA, NERIA, NA THE GODS MUST BE CRAZY.
daa kila nyakati na mambo yake, natamani nyakati zile zijirudie ila ndo basi miaka hairudi nyuma. HEBU ANAYEKUMBUKA FILAMU MAARUFU NA WAIGIZAJI MAARUFU ENZI HIZO TUKUMBUSHANE
 
Kuna nyingine latest kabisa zilichezwa Mabwepande, Ununio na Mahaba beach Mkuu.
 
Aisee unasema mwanzoni mwa miaka ya 2000 hizi movies?Mbona nyingi hapo ni za miaka 1980's na 90's?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom