Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimeipa heshima Tanzania - Richard 2007-11-13 09:33:15 By Fred Ogot, Johannesburg Richard Bizubenhout ameeleza anafurahia kuipa heshima Tanzania katika medani ya kimataifa baada ya...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Naomba muongozo ni muvi ipi kali wana jf katika prison brake na into the bad land. Naomben mrejesho wenu kwangu mm naona prison brake[emoji2]
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Omary Mkali na OM Jazz OM Jazz 9 instrumental . One of the best true jazz group in Dar-es-Salaam, Tanzania This is an official channel by Omary Mkali the artist and producer, owner of The OM...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KILIO CHA VALENTINE (Aibu Kusimulia) ‘’Ni aibu kufikiria, itakuwa kusimulia?’’ Sauti ya Latifa ilisikika kupitia simu, ni dhahili alikuwa akilia. ‘’Pole sana ndugu yangu lakini aibu hadi simuni...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu ninaomba msaada ninataka download movie za kifilipino bt you tube sizioni plz anaweza kunisaidia namna ya kuzipata
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu kwa wale wapenzi wa cartoon za animation tukutane hapa kujulishana ni cartoon gani nzuri kuangalia na mpya ni zip zilizo toka ila mm binafsi nakubali sana hizi cartoon...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
wandugu mi kwa kuanzia tu nimevutiwa na kamsemo haka "mficha moto kwenye msitu lazima moshi utamuumbua"
0 Reactions
213 Replies
30K Views
Achana na movie za superhero kidogo, jaribu kucheki hii western movie utaipenda.
0 Reactions
3 Replies
633 Views
Aiseee ndo nipo naichek hii movie hapa...... Yan ni tatizo!!!!!!!!!Nimeshika remote,basi hapa home wanatamani wanipige.maana kila muda nurudisha nyuma kuangalia tena balaa analofanya!!!!! Ndo...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Tembelea YouTube channel yetu kwaajili ya mafunzo ya Color correction na Color grading kwa kiswahili na kwa njia rahisi kabisa Fungua App ya YouTube. Search Creator pro5
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Hello guys hivi karibuni nitaanza kutoa masomo yahusuyo color correction n color grading kwa watu wanao jihusisha na mambo ya video production n graphics design
1 Reactions
5 Replies
877 Views
kuna wimbo unaitwa kitu na box wa abdul misaambano na ule wa issa matona anaimba nilidhani mimi chanda na wewe pete yangu... Naombeni mnisaidie tafadhali manake nimezitafuta muda mrefu sijazipata
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Na kuna ile ya Nikki mbishi na mkristo inakuja kuja kuikaribia hii ya KINGZILA..ZILA ZILA ni balaa
1 Reactions
14 Replies
11K Views
Wadau mwenye huu wimbo anisaidie, nimeutafuta mtandaoni bila mafanikio!! Natanguliza shukrani!!
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Wakuu kwa mimi hawa ndio wabaya wa chorus bongo kuanzia wa kwanza mpaka wa 5 1. Sir Nature - msitu wa vina 2. Belle 9 3. Chege Chigunda 4. TID 5. Q Chilla/ Q Chief
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Nakumbuka nilikuwa chuo nasoma sikukaa mabibo hostel nilipanga room mtaani, siku moja jumapili a msichana toka mzumbe university alikuja home kipindi hicho alikuwa mpenzi wangu. Akaniambia huna...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu kwa wale wapenzi wa tamthilia ya queen of the south leo usiku inaendelea tena hivyo msikose kufuatilia......camila ataweza kumpiku mumewe kwa kumiliki genge kubwa la madawa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
hii movie inaeleza story ya wanawake watatu waliokuwa wakifanya kazi NASA. kipindi hicho ubaguzi wa rangi upo na wanawake hawaaminiki kwenye sayansi.
1 Reactions
17 Replies
5K Views
jana nimecheki muvi moja classic inaitwa SHAWSHANK REDEMPTION ni kali kinomaaaa.humo ndani morgan freeman kama kawaida yake hatarii
1 Reactions
3 Replies
765 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…