Prison breake vs into the bad land

Naomba muongozo ni muvi ipi kali wana jf katika prison brake na into the bad land. Naomben mrejesho wenu kwangu mm naona prison brake
Kama unataka mkono then "Into the Badlands" inahusika

Kama unataka series yenye matumizi ya akili, ujasusi na intelijensia basi hujakosea kutazama Prison Break, by the way zile season za mwanzo za Fox River bado ni bomba kuliko za Sona au hii season 5...
 
Unafananisha mashudu na mbegu.

Yaani Into the Bad land Watu wanapigana wanaruka Juu Kama Ndege.. serious na mtu unaifurahia .

Prison Break ni tamu, and reality, katafute na Breaking Bad.
Jaribu kuangalia series zenye akili, by the way sijui ww ni nani but Kama teneger kaangalie tu hiyo Bad land.
 
Breaking Bad kitu kingine jaman duhhhh noma sana wale ma drug dila wapitie hili zaga,,,....
 
Kama unataka mkono then "Into the Badlands" inahusika

Kama unataka series yenye matumizi ya akili, ujasusi na intelijensia basi hujakosea kutazama Prison Break, by the way zile season za mwanzo za Fox River bado ni bomba kuliko za Sona au hii season 5...

Fox River penitentiary season one, na ile run ya season 2 ilikuwa kiboko sana.

Nawakumbuka watu kama kina Paul Kellerman na Alexander Mahone, huyu jamaa alikuwa anaweza kumsoma Scofield balaa mwanzo mwisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom