Kwa Wapenzi wa Animation cartoon

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,079
Heshima yenu wakuu

kwa wale wapenzi wa cartoon za animation tukutane hapa kujulishana ni cartoon gani nzuri kuangalia na mpya ni zip zilizo toka
ila mm binafsi nakubali sana hizi cartoon
zootopia
moana
minos

karibuni sana.
 
Bila kusahau
How to train your dragon
Rio 1 & 2
Despecable Me 1&2
Hetel Transyvania 1 & 2
The Croods
The adventure of Tintin
Kubo
Teenage Mutant Ninja Turtles 1&2
 
Kung fu panda 1, 2 ,3.
Finding nemo + finding dory
How to train your dragon 1, 2.
Tangled
Brave
Monsters inc
Monsters university
Zootopia
cars
minnions
Trolls
Asee nmeona nyingi sana.. na nyingine nnazo
 
Back
Top Bottom