Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,651
4,183
wandugu mi kwa kuanzia tu nimevutiwa na kamsemo haka "mficha moto kwenye msitu lazima moshi utamuumbua"
 

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,651
4,183
haya na mimi nina huu
dobi wa kweli utamjua siku akipewa nguo nyeupe
 

Nyaralego

JF-Expert Member
Nov 13, 2007
732
28
Ukitaka cha mvunguni sharti uiname...wahenga walisema

Ukitaka cha mvunguni tuma toto ndogo...muhindi kasema
 

Nyaralego

JF-Expert Member
Nov 13, 2007
732
28
I have a couple of quotes that i just found and think they are profound...
"Don't let people rent space in your head!"

"Worry looks around, sorry looks back, Faith looks up."
 

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
178
"You can loose money chasing women but never loose women chasing money"
 

NaimaOmari

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
801
45
"Be studious in your profession, and you will be learned. Be industrious and frugal, and you will be rich. Be sober and temperate, and you will be healthy. Be in general virtuous, and you will be happy. At least you will, by such conduct, stand the be" - Benjamin Franklin
 

Faith

Member
Jul 9, 2008
52
10
kwa mimi huu hapa

Don’t let your victories go to your head, or your failures go to your heart
 

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
178
"when you're good you can tell people but when you're really good, they'll tell you."
 

LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,473
187
wandugu mi kwa kuanzia tu nimevutiwa na kamsemo haka "mficha moto kwenye msitu lazima moshi utamuumbua"
Nini kimekufanya uvutiwe na huu msemo? (just curious)


Mi nimewasha na kuficha moto msituni, ila nitafanya hivyo wakati wa usiku tu. ;).
 

Typical

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
404
229
Mi wangu wa leo ni huu

"if you think i am the problem, change me otherwise change yourself"
 

Lavisha

Senior Member
Apr 10, 2008
167
41
There are two things to aim at in life; first to get what you want, and after that to enjoy it. Only the wisest of mankind has achieved the second.
~~Logan Pearsall Smith
 

Kweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,150
278
"The truth is more important than the facts"- Frank Lloyd Wright


"It is dangerous to be sincere unless you are also stupid" - George Bernard Shaw


"True friends stab you in the front" - Oscar Wilde
 

Kireka1980

JF-Expert Member
Mar 18, 2008
302
42
Even if i knew that this world will going to collapse tommorow i will still plant my apple tree.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom