Nimekuchek pm kakaAnayehitaji hii movie nampa bure kwa walioko DSM
We hujui movie ww,Haina ubalaa wowote,anafyatua risasi kama anachezeshwa kwenye game la mission
Nyie ndo hamjui muvi,ukiniambia john wick ya mwanzo ntakubaliana naww lakn sio upuuzi wa john wick 2We hujui movie ww,
John wick chapter II ni zinga moja ya movie
Ndugu katika hiyo movie John Wick ni trained assassin aliyebobea katika mapigano hayo na kama ni mfuatiliaji mzuri wa movie kama hizo jamaa alifanya trainning za kutosha katika kuigiza hiyo movie.Halafu kusema kama game je uliona kuna sehemu risasi imekunja kona au alikuwa anapigana kama Keanu Reeves wa matrix.Hujaona alivyokuwa anashonewa suit iliyo bullet proof,hujaona alivyokuwa anawafumua watu vichwa au hujaona mapigano ya mikono.Je ni kipi kimekufanya uone hiyo movie ni kama game?Nyie ndo hamjui muvi,ukiniambia john wick ya mwanzo ntakubaliana naww lakn sio upuuzi wa john wick 2
Huyo jamaa huwa anaangalia muv kwa makengeza!!!!!Ndugu katika hiyo movie John Wick ni trainned assassin aliyebobea katika mapigano hayo na kama ni mfuatiliaji mzuri wa movie kama hizo jamaa alifanya trainning za kutosha katika kuigiza hiyo movie.Halafu kusema kama game je uliona kuna sehemu risasi imekunja kona au alikuwa anapigana kama Keanu Reeves wa matrix.Hujaona alivyokuwa anashonewa suit iliyo bullet proof,hujaona alivyokuwa anawafumua watu vichwa au hujaona mapigano ya mikono.Je ni kipi kimekufanya uone hiyo movie ni kama game?
Mimi Sir.! Naipataje.?Anayehitaji hii movie nampa bure kwa walioko DSM