Freestyle hii ya Godzila na Pope Md ndio freestyle bora ya muda wate according to me Deadbody

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592

Na kuna ile ya Nikki mbishi na mkristo inakuja kuja kuikaribia hii ya KINGZILA..ZILA ZILA ni balaa
 
Nilikuwa namkubali Nikki Mbishi kwenye freestyle. Sijui kilimkuta nini akaanza kuwa mvivu.

Godzilla alikuwa mkali kipindi anatoka. Alipopata jina akaanza kufreestyle vitu havina mpangilio.
 
Nilikuwa namkubali Nikki Mbishi kwenye freestyle. Sijui kilimkuta nini akaanza kuwa mvivu.

Godzilla alikuwa mkali kipindi anatoka. Alipopata jina akaanza kufreestyle vitu havina mpangilio.
Nikki kwa freestyle siku hizi naona anazingua..Nimeangalia interview nyingi jamaa akiambiwa afreestyle anaanza kuimba nyimbo zake...
 
Back
Top Bottom