Wanajamii kama Heading inavyosema nisaidieni Mwenzenu Nahitaji nyimbo za kwaya/Dini ya Roman Catholic kama unazo nisaidie ku upload hapa nami nitasave!
Mbarikiwe katika Jina La Bwana!
MKATOLIKI
1. Sipendi kuamini Hip Hop katuni imekufa baada ya Mr. Ebbo kufariki.
2. Nimetafuta collection ya nyimbo za Mr. Ebbo kama Mi Mmasai, Watu bans, ....
3. Zinavutia sana.
4. Hawa watoga masikio na...
Kuna muvi moja hivi imechezwa na watoto 7, enzi za utotoni tuliita laki 7 ila jina halisi sikumbuki. Kwa anaeifahamu kwa jina lake halisi anitajie niitafute net. Naomba msaada
#kusema kwamba nyie wasanii mmeishiwa mashairi au mnafanya ili mradi ni mziki, eti #TUPO_BONGO_BAHATI_MBAYA_TU. Kusema kwamba huyu msanii yeye so wa nchi hii mpaka akafika hapa Tz alipotea mpaka...
Hbr za mchana,
Naomba kujua wap nitapata magoli na wavu wa volleyball , nimezunguka maduka kadhaa ya michezo bila kufanikiwa. MkInitajia na gharama zake nitashukuru zaid
Kumekuwa na nyimbo zikitolewa za madj na maproducer kuwashirikisha wasanii waimbaji na wao hawaimbi kabisa kwenye nyimbo hizo mfano wimbo wa DUAS wa LEGENDARY BEATS FT VANESSA MDEE , I GOT THE...
Eti kiitikio kinasema " excuse me can i get number can i get ur number"
halaf mashairini sasa eti naomba usiniache mpenzi wangu tupendane .....cjui nini brah brah...
sasa joh kivipi mtu akuache au...
Kumekua na style mpya ya wana Bongo Fleva kutopeleka kazi zao kwenye TV eti kisa waongeze youtube views.Aisee hapa mmepotea....wapenzi wenu wanaangalia sana TV...utashangaa unaenda kwenye show...
Kumekuwepo na taarifa kwamba eti wanataka kumshatki DJ Murphy kwa kutafsiri movie za nje kwa kiswahili, aisee hawa tumewalegezea sana embu twende nao samba sasa kama mbwai iwe mbwai tu.
Hawa...
"Truth In The World"
I've been risking my life all these years
Protecting you from all the wrongs you did, man
I keep all this because of your promises
You promise me that you will die when I die...
Habari wadau naomba mwenye link ya wimbo fulani wa Bob Rudala/inafrica band unaoitwa Julie ama julieth anisaidie basi.
Ni wimbo fulani ulivuma miaka ile ya mwanzoni mwa 2000...
Asanteni sana
Huwa ni mpenzi wa Games especially Brain Game zinazohusisha Mathematics, Puzzle na Vitu vingine.
Limbo Ni Best Game , Ni game linalohitaji utulivu wa Akili Kuvipita vikwazo vilivyowekwa...
Amani ikae nanyi!
Naombeni jina la huu wimbo:
Kuna wimbo ambao Radio 1 huwa wanautumia kama "background melody" kwenye kipindi chao cha Zilipendwa kile cha Jumapili mchana (nadhani bado kinaanza...
Hii movie sijaiona. Ila kiukweli mimi si mpenzi wa bongo movie na kwa idadi ya movie za bongo nilizoangalia ni nadra sana kufika hata kumi. Hapo nyingi nimelazimishwa kuangalia kwenye mabasi...