Darassa-Hasara Roho (Audio)

Je Audio Ni Kali Au Amepuyanga?


  • Total voters
    22
  • Poll closed .
Mimi nasubiri video labda itanifanya niupende zaidi!
Sijapenda chorus angemweka mtu mwingine aimbe,ila kwa verse nyingine iko poa
 
Nilijua tuu atatembelea ugoko ngoma ya pili...hii na mziki hamna utofauti zaid zaid kaharibu
 
Wakuu naomba kufaham jina la msanii aliyeimba wimbo wa "nitauza penzi langu "

Nilifikiri ameimba Christian Bella lakini sioni kama ni yeye ameimba, japo sauti zinalandana au huenda hiyo siyo tittle sahihi ya wimbo.


Msaada plz, REGARDS
 
Back
Top Bottom