Muvi ya lucky 7

Muvi ya lucky 7

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
879
Reaction score
618
Kuna muvi moja hivi imechezwa na watoto 7, enzi za utotoni tuliita laki 7 ila jina halisi sikumbuki. Kwa anaeifahamu kwa jina lake halisi anitajie niitafute net. Naomba msaada
 
Labda ungesimulia kisa kidogo, ilihusu nini na labda unamkumbuka
mmojawao jina lake, pengine inaweza kutusaidia kuitambua. Vinginevyo
binafsi hadi sasa nimetoka kapa...
 
Kuna muvi moja hivi imechezwa na watoto 7, enzi za utotoni tuliita laki 7 ila jina halisi sikumbuki. Kwa anaeifahamu kwa jina lake halisi anitajie niitafute net. Naomba msaada
Inaitwa hivyohivyo lucky seven.
 
Ebhana naipata hyo movie,ilikuwa noma sana kipindi kile,just search the lucky 7
 
Back
Top Bottom