Katolik:Nahitaji nyimbo za kikatoliki

Katolik:Nahitaji nyimbo za kikatoliki

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,315
Reaction score
8,750
Wanajamii kama Heading inavyosema nisaidieni Mwenzenu Nahitaji nyimbo za kwaya/Dini ya Roman Catholic kama unazo nisaidie ku upload hapa nami nitasave!
Mbarikiwe katika Jina La Bwana!
MKATOLIKI
 
Nilidhan nyimbo za roma Mkatoliki ...kumbe ni za Roman Catholic,

Hizo nyimbo wewe ingia tu YouTube zimejaa kibwina. Utapakua mpaka utasaza mwenyewe.
 
Sasa mkuu umewezaje kuingia hapa na kushindwa kugoogle hizo nyimbo otherwise taja majna ya nyimbo tukuwekee
 
Kama upo series nicheki PM utume na hela ya bundle..nitakutumia za kutosha
 
Back
Top Bottom