Kwa Tanzania chess ni mchezo mchanga sana na cjawah pita sehem nkaona watu wakicheza ,so probably kama upo utakua haujafanyiwa advertisement yakutosha like other games kama draft ambao kuna...
Naukubali sana mkoa wa Tanga, una historia nzuri katika burudani na unaaminika kuwa ndio asili ya burudani katika nchi hii, kuanzia kabumbu, muziki, sinema na kadhalika. Tanga ni jiji lililo...
Am thanking my God as well all my relative and friends,especial my real friends from JF for ur company u made me more creative as am a Great Thinker Nw.My mama told me that I was born at 1july...
NI ukweli usiopingika kuwa sekta ya sanaa nchini ipo chumba cha wagonjwa mahututi, na hatua za makusudi zinahitajika kuchukuliwa (na wasanii wenyewe) kunusuru hali hii.
Nakumbuka miaka ya 1990...
Huyu kijana wimbo wake wa kwanza anaitwa Bhuzo kid mnamuonaje wadau is there bright future for him?
Nahitaji maoni yenu
Bhuzo Kid Music - Free MP3 Download or Listen | Mdundo.com
Hivi hizi fujo tulizofanyiwa leo barabarani na hawa wanaojiita WCB wakiongozwa na diamond platnumz wakitoka kumpokea mwenzao Rayvanny mmeziona au wenyewe wapo juu ya sheria maana bado kidogo tu...
Habarini wana jamvi, naomba muangalia clip hii hapa chini ya performance ya R.Kelly then mnisaide kuniambia Kama ni kweli au imeeditiwa,maana Kama ni kweli basi jamaa ana pumzi si mchezo.
Kuna huu wimbo wa kihaya, nadhani ulitoka miaka ya 2000 umeimbwa na mwanadada anayeitwa maua...
Sikumbuki jina ila naweza hisi ni akatambala, kama kuna mtu anaufahamu naomba anisaidie niupate...
Habari za leo wakuu,
Kama mdau mkubwa wa industry yetu ya music bongo,Leo nimeandaa orodha ya nyimbo zangu ishirini bora za r&b(10) na hip hop (10) za leo hadi zamani.In short ni nyimbo ambazo...
Huyu mtu ni simply a genius anapoamua kutulia anatuletea vitu hatari....hii ngoma nimeirudia mara 20 toka jana naisikiliza tu, big up tid mnyamaa...warioba...hhahahh hatari sana.
Wadau wa entertainment habari zenu.
Ipo siku nilifungua tv kwenye chaneli ya st swahili nikakutana na movie moja iliyoandaliwa na kampuni ya pilipili entainment inayoongozwa na watu wenye majina...
Katika radio na tv programs kuna nyimbo mpya kila kukicha na pia kuna nyimbo zinazohit kila muda. Lakini kila mtu ana nyimbo anazozipenda katika kila wakati...
Ningependa tushirikishane nyimbo...
Sio mwngne ni yule yule king Kong kutoka lafamilia karudi tena kwenye ubora ule ule wa DaresSalam stand up, kama ujaisikiliza isikilize afu sema chochote kuhusu chidbenz kwa wimbo huu.
Jamani kuna nyimbo aliimba lady jay Dee ina mahathi ya kidini najaribu kuikumbuka nashindwa. Aliimba na mtu kama sio msouth afrika mganda. Msaada wakuu anaeukumbuka
Hivi kwenye wimbo "chambua kama karanga" Saida Karoli anazungumzia mapenzi mubashara kati ya Halid na Philemon, na kuwataka wenye wivu wakitundike kitanzini. Hii kitu imekaaje!?
kuna uhusiano gani kati ya hizo channel zinazocheza nyimbo zilizopo katika billboard chart ( music on chart) kupiga nyimbo kwa upendeleo mkubwa nyimbo za nigeria zaidi..??
kwa mfano kama una...
Habari zenu wakuu,
Wale wenzangu ambao hatunywi Pombe naomba mnisaidie kunitajia vinywaji ambavyo huwa mnakunywa mkiwa mmetoka (out) natamani Sana kutoka kwenda sehemu za starehe maarufu ila...
Naangalia british comedy series ya miaka ya 90 inahusu jamaa anaefundisha wanafunzi mataifa tofauti kiingereza, episode mojawapo kuna mwanafunzi wa scottish anajitambulisha kwa style ya kuongea...