Mac regan aicopy ID ya huyu jamaa au ni coincidence tu

thedaydreamer

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
372
88
Naangalia british comedy series ya miaka ya 90 inahusu jamaa anaefundisha wanafunzi mataifa tofauti kiingereza, episode mojawapo kuna mwanafunzi wa scottish anajitambulisha kwa style ya kuongea kama mac regan wa original comedy kabisa na jina pia la mwisho anasema mac regan, nashindwa kuelewa kama imetokea tu au jamaa alicopy hapa, angalia video hiyo
 

Attachments

  • TRIM_20170626_120725.mp4
    2.1 MB · Views: 31
Back
Top Bottom