Old School Special Thread

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Oii ...back in tiiiimee...mko poa ma-old school wenzangu nineamua kuanzisha thread hii mahususi kwa ajili ya vijana wa zamaani tuongelee kuhusu maisha ya zamani especially miziki ya nje "old school" rnb, hiphop, blues, zilizobamba sana na vijana ambao tulikua states enzi hizo maisha yalikuwaje huko na zile beef za east coast na west coast, beef za tupac na big, club za zamani za nje hata bongo pia, gangs zilizokua na beef enzi hizo states,matukio ya zamani ya huko states, vijana tulioruka majoka club za hapa bongo miziki gan ilikua inapigwa sana na matukio ambayo unayakumbuka ambayo hutayasahau. Na mengine mengi. Karibuni sana. Lets go waaaay baack in timee!!
 
Oi oi oi....

Mob deep
Outcast team
Naughty by Nature
Thug life
BadBoy
Coolio
X-zibit
Lost Boys
Mase
Puff Daddy
Nas Escober
Snoop Dog
Dr.Dre
Ice Cube
Master P
Nate Dogg

Mi nilianza kuwasikia hao wa 90's though wapo wakali waliowatangulia.

Old school = Gold school
 
Eh bwana mi nakumbuka mengi sana ila kuna club moja mjini L.A marekan ..miaka ya 90's wakat ndo beef la pac na big limepamba moto...watu tunaingia club, jamaa flan alikua mmoja wa wamilik wa hio club walikua wanakaaa upand wa dj....sasa jamaa anashika mic anaanza...."now i want all mthfk east side stay that side and all mthfk west side stay that side" ..and if u aint got any side u better fkn going home" baas bwana tukishakaa pande mbili katikati panaachwa uwazi flani ...dj anaanza kushusha trak za tupac na big ..ikifika trac ya upande wenu basi mnawa face wenzenu mnakua kama mnawachana....hahahaa ilikua balaaa ...hasa ilipofika trak ya hit em up ya pac ....haswa kwenye chorus "grab tupac when u see 2pac ..call the cops when u see 2pac".....hahahah aiseee
 
Kama masoud masoud wa TBC 1 angekuwa member humu angeanza kutuletea khabari za kina isaac huyes au james brown au ray Charles jimmy hendrix pangenoga humu maana kina mtu atataja waqt wake kama ni public anemy au Nwa patakuwa patamu.
Daaah inawezekana yupo bwana ....masud njoo bwana. Kamaa hayupo mimi kwakwel ntaenda kumtafuta aje humu tena daah masud ndo kabisaa ana habar za kina sana
 
1472560743955.jpg


Eh bwana hawa jamaa...aise kuna mtu ameona muvi ya maisha yao imeektiwa ya mwaka huu
 
Najua wajua una mawazo....ila tutafanyaje ikiwa wazazi wako wameamua hivyo....x2

Nia yangu na madhumuni yangu....x2
Ilikuwa..tufunge ndoa...na tuishi sote kama mume na mke.....

Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu...x2

Wazazi wako waliniwekea vikwazo vingi......

Ooh Selina piga konde moyo ooh Selina....
Oooh Selina utafanikiwa....
 
Najua wajua una mawazo....ila tutafanyaje ikiwa wazazi wako wameamua hivyo....x2

Nia yangu na madhumuni yangu....x2
Ilikuwa..tufunge ndoa...na tuishi sote kama mume na mke.....

Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu...x2

Wazazi wako waliniwekea vikwazo vingi......

Ooh Selina piga konde moyo ooh Selina....
Oooh Selina utafanikiwa....
Hahha mkuu yes...umekumbuka nini kwenye hio ngoma ya kitambo
 
Oi oi oi....

Mob deep
Outcast team
Naughty by Nature
Thug life
BadBoy
Coolio
X-zibit
Lost Boys
Mase
Puff Daddy
Nas Escober
Snoop Dog
Dr.Dre
Ice Cube
Master P
Nate Dogg

Mi nilianza kuwasikia hao wa 90's though wapo wakali waliowatangulia.

Old school = Gold school
Dah mkuu hivi hao raia wako wap especially akina coolio, wazee wa OPP wako wap aisee ...yu know opp.ye yu know meee ...hahahaah...
mi najua xzibit ana kipind chake saivi cha kutengeneza magari flan amazing hahaha
 
Mawazo yamenijia leo
aliyokuwa mzee wangu akisema

Dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti...
Ukitaka kuishi vyema fikiri kabla ya kujibu....

Jifunze kwa walimwengu..
Walimwengu wajifunze kwako
Dunia ni kuona mambo alafu kuyasahau.....


Mateso nimeshayapata
Matatizo mengi yamenikuta
Furaha nyingi nimeshaona
Maisha nusu nimeshafanya.....

Naelekea uzeeni sasa lazima niwe na utulivu
Sababu kuishi kwingi ni kuona mengi...
Kuelimisha wanaobaki waishi kwa heshima......

Ndala Kasheba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom