Nadhani kwa wanaojua matukio ya kisiasa ya taifa letu wanajua ninachomaanisha yani utungaji huu wa sinema utahusisha moja kwa moja kati ya mapambano ya kuzuia rasilimali za nchi na mwingine...
Kusema kweli, hakuna nyimbo inayo ji replay kwenye computer yangu kama huu wimbo.
Ana ngomq nyingine inaitwa luck me. Hakika natangaza kwa moyo wa dhati kuwa shabiki wa GNako
Sent from my VFD...
Kwavile Radio Free Africa na StarTV hazipo hewani (zinatangaza matangazo ya wengine) nawashauri BBC DIRA YA DUNIA TV hamishieni taarifa hio ya habari ITV au kwingine mtakakoona kunafaa
Ni vema...
Kwenye goma jipya la unatafuta kiki la Niki Unju mbishi kajiita niki bashite anazungusha zero nimecheka sana.
Ila Niki najua upo hapa jf,ndugu yangu una mistari na flow kali sana,yaani hii ngoma...
SIKU ITAKAPOFIKA
Hiyo siku ikifika, nafsi kuuacha mwili,
Kalamu zitaandika,mara lile mara hili,
Wengi watahuzunika,na kushindwa kuhimili,
Siku itakapofika, mwili utapumzika.
Sijui ni kwa...
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavojieleza. Msaada wa jinsi ya kusave picha INSTAGRAM ije kwenye gallaries...
Nawasilisha
Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
Mama mmoja aliamua kumtembelea mtoto wake wa kiume anayesoma chuo kikuu katika HOSTEL aliyopanga ili wale chakula cha jioni pamoja..[emoji492][emoji502]
Alipofika hapo chumbani kwa mtoto wake...
Unakuta mwigizaji anaongea lugha mbili kwa wakati mmoja(mkabala) sasa sijui wanakuwa na lengo gani coz unakuta hyo movie ina subtittle..
Mfano:
Mtu anasema
'Nooo' ... Then hapana
'Ilove you so...
Mzuka wanaJF na habari za mchana!
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana yani mbali sana. Demu wangu mrembo aliupenda sana sasa hivi yuko mbinguni. Sijausikiza mda mrefu sana.
Nimejikuta naufungua...
Dah Tunatarajia By Jumapili hivi Ma Pirates Watakua Tayari Wamesha iweka Spider man homecoming free tayari kwaajili ya kuidownload
Movie hii itakua ipo Fresh Sana
Akina Tom Holland as spider man...
Katika hii movie ukiitazama kwa umakini inakupa majibu sahihi Juu ya utaifa wako na hali ya uzalendo ulio nao katika moyo wako
Ila usichokifaham katika movie hii ni kwamba ilichezwa nchini...
Habari wana JF na JF kwa ujumla.
Kuna wimbo mmoja siukumbuki jina kabisa aliimba Bizman kwenye ile Album yake ya Nipe Muda.
Maudhui ya wimbo huu yanahusu maisha ya mwanaume na mwanamke kwenye ndoa...
Downlaod na usikie nyimbo yangu inaitwa BINADAMU WA LEO,
Sina management kama umeipenda kazi yangu na una Nia ya kunisogeza hatua moja mbele tuwasiliane Pm,
Nina kazi nyingi hii ni moja wapo tu...
Dogo Domo una stress trust me, na nina wasiwasi unapuliza sasa hivi mboga.
Ngoma tatu lakini hakuna jipya lenye kuleta muonekano mpya unafeli brother.
Mapenz yana kusumbua, tafadhali...
Wakuu, nipo hapa Mzizima tokea mwezi wa nne na hapo nyuma niliisha tupia humu kuisifia band hii ya muziki. Naomba kufahamishwa ukumbi na siku wapigapo muziki ili nifike na kupata faraja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.