'CHECHE' za Dimpoz zinachoma kuliko 'FIRE' ya Diamond Platnumz

'CHECHE' za Dimpoz zinachoma kuliko 'FIRE' ya Diamond Platnumz

mbona ya kawaida!
Mimi kwangu aslay-koko tu
 
Cheche kali sana ila bado hakuna sababu ya kuipambanisha na ngoma za watu wengine
 
Bored thread..unapoongelea mambo ya ushindikani(kama music) jaribu kuweka na songs zenyewe!
 
aiseee timu sio nzuri kwakweli...hivi hyo cheche ukaipambanisha na fire jamani...mungu anawaona aiseee.....bora nikamsikie nandy na song lake jipya ila sio cheche....tuache ushabiki upupu....hyo cheche haigusi hata kidogo magoma ya aslay..... mahaba yanafanya watu muwe vipofu...
 
Back
Top Bottom