Huu wimbo unapatikanika vp? ni zaidi ya hit song zote za kibongo

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,822
Msanii anaitwa Ndela wimbo unaitwa Sijutii

Sasa kila nikiwasha redio nauskia unapigwa, ila kila nikiiutafta google haupo.

Ni wimbo mzuri sanaa huu, dogo katoka kwa hakika.

Mwenye nao autume humu au a share link, mtaufurahia sana mkiuskia wale ambao bado.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom