Msaada juu ya wimbo wenye mashairi haya

Msaada juu ya wimbo wenye mashairi haya

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
1,962
Reaction score
1,622
Habari Ndugu zangu.
Naomba kusaidiwa jina la wimbo WA hawa jamaa wa kitambo kidogo kwenye game
Mmoja akifahamika kama Man dojo na mwingine Domo Kaya.
Baadhi ya mistari ni hii kwenye kiitikio
"Mpaka naja jionea mwenyewe Kwa macho yangu,
Nilisha sikia ila sikuamin asilani...."
 
Na Mimi nisaidieni wimbo wenye kakorasi haka
Nakapicha Kako nitakapost
Wasokutamani Itawacoast
 
Back
Top Bottom