emmadizzo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,503
- 1,683
Habari zenu mazee poleni na pilika za wiki nzima nachukua fursa hii kuwapongeza east africa tv/radio kwakutuletea burudani
Ni leo jumamosi show ni wakongwe kibao stejini nadhani ni siku nzuri yakwenda kuluka ngoma zetu zakitambo ebwaneee wauni kibao ndani wakiongozwa na kassim kiroboto "juma nature" sio show yakitoto ni kihistoria
Tukutane badae saa mbili usiku show ndoinapo anza ebu mdau taja ngoma unayoipenda yakitambo mimi naanza na mayowe afande sele...
usisahau wapo kina
Dully
J mo
Daz baba
Mandojo & domokaya
mb doggy
Wagosi wa kaya
Solid ground family
Afandesele
Ebwaneee usikose...