Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Hizi movie za hawa gabachori ni kiboko, sijui wanajisikiaje wanavyotuigizia hivi maana eti mtu anarusha gari na mkono mmoja anaponda helkopta, yaan ni hivi kuna jamaa anapigana sasa inakuja helkopta inataka kumkata na yale mapanga, mara anakuja jamaa anaendesha kwa kasi vibaya kisha anasimama na kuirusha gari kuelekea kule kwenye helkopta ili isimkate jamaa yake,hapa nimecheka aiseee.
Sehemu nyingine ni jamaa anapigana na watu wengii peke yake bila msaada yaan watu laki huko eti anapigana na kuwaua wote hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] wahindi mbona mnatufanyia hivi ,hata kama bongo movie wameshindwa kuigiza msitufanyie hivi tunawaomba.
Ebu toa kituko ulichokiona kwenye movie yoyote yenye chai iliyopitiliza