magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 13,810
- 33,631
Habari zenu wakuu.
Kuna nyimbo za injili kutoka albam fulani hivi nilikuwa nazisikiliza sana kipindi bado mdogo. Kwaya iliyoinba siikumbuki ila baadhi ya mistari ninayokumbuka ilikuwa hii...
"...tunae mtu mmoja tunamsoma...yeye ni mtu wa Mungu....maisha yake...mtu huyo jina aliitwa Daniel...tuige mfano wake Daniel .... Daniel alimtegemea Mungu.. Daniel huyo alisimama...."
Na wimbo mwingine ninaokumbuka ulikuwa hivi....
"....Delila kamnyoa nguvu zikamwishia....tusiwe kama yule Samson ndugu zangu....tutanya angamia bwana Mungu atuonya....."
Nitashukuru sana nikizipata.