Samahani kwa nitakaowakosea!
Napendekeza Diamond apewe tuzo ya heshima ya kukieneza kiswahili kama sehemu ya utamaduni wetu, pili atambuliwe kama shujaa wa nchi katika kusaidia watu, amejitoa sana mifano ni mingi tu. Mwisho nashauri apewe diplomatic passport na nchi,na ulinzi imara na awe anawapa kozi mbalimbali wale jamaa wa basata, walioshindwa kusaidia sanaa ya nchi hii, ili waboreshe uelewa wao kuhusu namna ya kuifanya sanaa iweze kuzalisha ajira hata kwa wasio wasanii.
Ngoja niendelee kuskiliza huu wimbo wa eneka .
Povu ruksa!