WAPENZI WA MTV SHUGA SERIES!

WAPENZI WA MTV SHUGA SERIES!

Maki J

Senior Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
154
Reaction score
162
Wasalamu JF members,kwa wale wapenzi na wafuatiliaji wa Mtv Shuga inaendelea na Tanzania tunawakilishwa vyema na Msanii wa bongo fleva Vanessa Mdee,hivyo Basi kwa anayejua link ya kuweza ku-download hy series please share kwani Mara nyingi nilikuwa napata kwa watu walio download nimejaribu ku-search kwenye mitandao sijafanikiwa. Asanteni
 
Hii kitu kumbe inaendelea
Yes inaendelea series ya 5 episode 12 ndo ya mwisho kama cjakosea,safari hii wameigizia South Africa

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Yes inaendelea series ya 5 episode 12 ndo ya mwisho kama cjakosea,safari hii wameigizia South Africa

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Basi mi niliangalia ile ya Kenya na Shuga -Naija(nayo sikuimaliza)..Mana kila nikiitafuta utube nilikuwa siioni..Ngoja nizisake now
 
Back
Top Bottom