kwa wapenzi wa series za sci-fi na adventure

kwa wapenzi wa series za sci-fi na adventure

Racso G

Member
Joined
Jun 19, 2017
Posts
57
Reaction score
29
Kuna series moja hivi inaitwa The 100, aisee kama hujaiona fanya kufatilia.. Cuz ni bonge moja la series hivi kali na kuna adventure za hatari... Ninauhakika ukiona lazima utaikubali 2
 
Back
Top Bottom