Msaada wa wimbo huu

Msaada wa wimbo huu

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,364
Reaction score
4,619
Mwenye wimbo unaitwa "nimerudi salama" nadhani umeimbwa na moro jazz kama sikosei. Nauhitaji sana mwenye kua nao naomba tafadhali,..
Asante.
 
Jaman mmenigomea... kweli hamna mwenye nao?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Mwenye wimbo unaitwa "nimerudi salama" nadhani umeimbwa na moro jazz kama sikosei. Nauhitaji sana mwenye kua nao naomba tafadhali,..
Asante.
Nenda play store mkuu kuna app inaitwa "mziki zamani" ina kind iconi cha ngoma hapo kuna miziki yoote ya zamani
 
Back
Top Bottom