WAKU-GOOGLE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 950
- 623
Habari wana JF!
Naomba kuuliza jamani kuhusu huu mchezo wa boxing.
Hivi huwa wanaangalia vigezo gani hasa ili mtu kupata ushindi?
Nimeona mapambano kadhaa lakini huwa yananipa changamoto kuhusu mshindi.
Mara nyingi naona boxer flani atashinda kwa makonde aliyomtupia mpinzani wake na jinsi alivyommiliki mwenzake lakini mwisho wa pambano nakuta hali ni tofauti kabisaaa...
Kwa sababu ambaye nitaona amefanya vema kwa kumtwanga mpinzani wake hawi mshindi.
Sasa naomba tusaidiane wajuzi wa huu mchezo tupeni ujuzi na kuondoa utata katika huu mchezo ili tujue point huwa zinaangaliwa vipi na ma-judge ili kupata mshindi.
Karibuni