Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Naomba mnisaidie nyimbo ya mwana Hip Hop Zola D amemshirikisha D-Knob nyimbo inaitwa "Jana sio leo" mana nimeitafuta video yake youtube na audio yake bila mafanikio.Hii nyimbo ni ya zamani kidogo
Natanguliza shukrani kwa atakaenisaidia
Natanguliza shukrani kwa atakaenisaidia