Ni movie gani unaipenda sana lakini watu hawaipendi?

Mr PARE

JF-Expert Member
Feb 2, 2017
789
1,000
Au kinyume chake ni movie gani huipendi lakini inapendwa sana?

Karibu!
 

Alisina

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
3,741
2,000
My name is khan


Hii filamu haikuweza kunishawishi/sikuipenda,lakini baadhi ya Rafiki zangu wanaikubali mno.
 

RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
16,338
2,000
Kuna series ya kihindi wanaiita sijui ya chakolii. Nilianglia season 1 tu, sikuielewa wala nini wale watu mule wako kama mazuzu watu wa kulia lia tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom