Video: Diamond Platnumz-Eneka (Official video)

pamoja na kuwa kwenye video Domo huwa hafunikwi na mtu.

tuwe wakweli, producer wa Diamond hii biti ka sample kwa Davido -fall, halaf alishindwa hata kuweka isi sound suspicious. kuna tatizo kubwa sana kwa huyu producer wa WCB, uwezo wake si mkubwa pia ana lack ubunifu, japo si producer mbaya.
 
Long time no see

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
pamoja na kuwa kwenye video Domo huwa hafunikwi na mtu.

tuwe wakweli, producer wa Diamond hii biti ka sample kwa Davido -fall, halaf alishindwa hata kuweka isi sound suspicious. kuna tatizo kubwa sana kwa huyu producer wa WCB, uwezo wake si mkubwa pia ana lack ubunifu, japo si producer mbaya.
Hahahahaa.... Bongooo
 
Mmemshauri aendane Na beats za sasa za wapopo kawasikia kafanyia kazi.

Siamini Kama mtaendelea ponda tena.
 
Huku kuachia ngoma nyingi n dalili ya kutojiamini

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
wizkid toka january anaachia ngoma kila mwezi na anazidi kuchanja mbuga ila diamond kufanya hivyo tayari imekuwa nongwa
 
Huku kuachia ngoma nyingi n dalili ya kutojiamini

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
Huu ni mfumo wakawaida tu, unatumika sana West Africa kama unavoona akina tecno,olomide,davido,wizkid wanavofnya diamond mashindano yake ni dhidi ya hawa watu kaona kma Tz tunapwaya kimataifa dhidi ya hawa Wa nigeria maana wanatoa nyimbo kila kukicha

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kwan wabongo mnaishiwaga maneno cheki wqkina wizkid bampa 2bampa now
Jifunze kuandika vizuri kwanza.

Na ndio tatizo la watanzania sisi mtu akitoa Mawazo yake nyie timu upumbavu mnakuwa hamuelewi

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom